• HABARI MPYA

  Monday, August 23, 2021

  SIMBA SC WANAENDELEA NA MAZOEZI YAO KAMBINI MOROCCO  BEKI wa Simba SC, Muivory Coast, Serge Wawa Pascal akifanya mazoezi na wenzake Gym mjini Rabat nchini Morocco katika kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya.

  Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi Gym mjini Rabat baada ya baadhi ya wenzao kuondoka kwenda kujiunga na timu zao za taifa kwa ajili ya mechi za kufuzu Kombe la Dunia.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WANAENDELEA NA MAZOEZI YAO KAMBINI MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top