• HABARI MPYA

  Tuesday, August 17, 2021

  THIBAUT COURTOIS ASAINI MKATABA MPYA REAL MADRID HADI 2026


  KIPA Mbelgiji wa Real Madrid, Thibaut Courtois amesaini mkataba mpya wa kuendelea kupiga kazi Bernabeu hadi mwaka 2026 atakapofikisha umri wa miaka 34.
  Alijiunga na Real mwaka 2018 akitokea Chelsea na tangu amewasili ameshinda mataji ya La Liga, Spanish Super Cup msimu wa 2019-20. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: THIBAUT COURTOIS ASAINI MKATABA MPYA REAL MADRID HADI 2026 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top