• HABARI MPYA

    Wednesday, August 25, 2021

    YANGA SC YAZINDUA JEZI NNE ZA MSIMU MPYA

    KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Abdallah akionyesha jezi mpya ya nyumbani ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam

    Beki wa Yanga, Dickson Nickson Job akionyesha jezi mpya ya ugenini ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam

    Beki mpya Mkongo wa Yanga, Yannick Bangala Litombo akionyesha jezi mpya ya tatu ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam


    Viongozi wa Yanga wakionyesha jezi mpya za timu hiyo msimu ujao ambazo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YAZINDUA JEZI NNE ZA MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top