• HABARI MPYA

  Saturday, August 21, 2021

  MAN CITY YAZINDUKA, YAIPIGA NORWICH 5-0

  MABINGWA watetezi, Manchester City wameamsha makali yao baada ya kuichapa Norwich City 5-0, mabao ya Tim Krul aliyejifunga dakika ya saba, Jack Grealish dakika ya 22, Aymeric Laporte dakika ya 64, Raheem Sterling dakika ya 71 na Riyad Mahrez dakika ya 84 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja Etihad Jijini Manchester.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAZINDUKA, YAIPIGA NORWICH 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top