• HABARI MPYA

  Sunday, August 15, 2021

  HAALAND APIGA HAT TRICK DORTMUND YAICHAPA FRANKFURT 5-2


  KATIKA Bundesliga jana Erling Haaland ameanza na moto, kinda huyo wa umri wa miaka 21 Mnorway akifunga mabao mawili katika ushindi wa Borussia Dortmund wa 5-2 dhidi ya Eintracht Frankfurt nyumbani.
  Marco Reus, Thorgan Hazard na Giovanni Reyna walifunga mabao mengine ya Dortmund, huku ya Eintracht yakifungwa na Felix Passlack aliyejifunga na Jens Hauge.

  Matokeo mechi za jana - Bundesliga

  FT
  Wolfsburg1 - 0BochumView events
  FT
  Union Berlin1 - 1Bayer LeverkusenView events
  FT
  Stuttgart5 - 1Greuther FürthView events
  FT
  Augsburg0 - 4HoffenheimView events
  FT
  Arminia Bielefeld0 - 0Freiburg
  FT
  Borussia Dortmund5 - 2Eintracht Frankfurt

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAALAND APIGA HAT TRICK DORTMUND YAICHAPA FRANKFURT 5-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top