• HABARI MPYA

  Sunday, August 15, 2021

  RAIS WA CAF, BILIONEA PATRICE MOTSEPE AVUTIWA NA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA SOKA CHA TFF KINACHOJENGWA KIGAMBONI

  RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amevutiwa na mradi wa ujenzi wa Kituo cha Michezo cha soka cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam.
  Motsepe, mmiliki wa Mamelodi Sundwons ya kwao, Afrika Kusini yuko nchini na pamoja Bilionea huyo kukutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Jijini Dodoma kwa mazungumzo, pia jana alihudhuria Fainali ya Kombe la Kagame.
  Naye Mwenyekiti wa BMT, Leodegar Tenga amezungumzia Ujenzi wa kituo hicho na kile cha Mnyanjani, Tanga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA CAF, BILIONEA PATRICE MOTSEPE AVUTIWA NA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA SOKA CHA TFF KINACHOJENGWA KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top