• HABARI MPYA

  Saturday, August 14, 2021

  MAN UNITED YAANZA NA MOTO ENGLAND, YAICHAPA LEEDS 4-1


  TIMU ya Manchester United imeanza vyema Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 5-1 dhidi ya Leeds United leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
  Mabao ya Man United yamefungwa na Bruno Fernandes dakika ya 30, 54 na 60, Mason Greenwood dakika ya 52 na Fred dakika ya 68, wakati la Leeds limefungwa na Luke Ayling dakika ya 48.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAANZA NA MOTO ENGLAND, YAICHAPA LEEDS 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top