Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC YACHAPWA 4-0 NA RED ARROWS NDOLA AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC YACHAPWA 4-0 NA RED ARROWS NDOLA TIMU ya AZAM FC imechapwa mabao 4-0 na wenyeji wao, Red Arrows katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola nchini Zambia ambako imeweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya. Wednesday, August 25, 2021 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment