• HABARI MPYA

  Monday, August 23, 2021

  AZAM FC YATUA ZAMBIA KUWEKA KAMBI

   


  KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama jijini Ndola, Zambia kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya  Mara baada ya kuwasili, kikosi hicho kitapumzika kabla ya kuendelea na programu ya mazoezi kesho Jumanne, asubuhi na jioni.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YATUA ZAMBIA KUWEKA KAMBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top