• HABARI MPYA

  Sunday, August 15, 2021

  SALAH ASETI MBILI NA KUFUNGA MOJA LIVERPOOL YAICHAPA NORWICH 3-0


  NYOTA Mmisri, Mohamed Salah usiku wa jana ameseti mabao mawili yakifungwa Diogo Jota dakika ya 26 na Roberto Firmino dakika ya 65, kabla yaye ye mwenyewe kufunga la tatu dakika ya 74, Liverpool ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo wao wa kwanza Ligi Kuu ya England Uwanja wa Carrow Road.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH ASETI MBILI NA KUFUNGA MOJA LIVERPOOL YAICHAPA NORWICH 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top