• HABARI MPYA

  Monday, August 09, 2021

  KIKOSI CHA SIMBA SC CHAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KWA KUPATIWA CHANJO YA UGONJWA WA COVID 19 LEO MUHIMBILI

   


  BEKI wa Simba SC, Shomari Kapombe akipatiwa chanjo ya ugonjwa wa COVID 19 pamoja na wachezaji wenzake wote, Maafisa wote wa benchi la ufundi na wafanyakazi wa Azam FC, leokwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA SC CHAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KWA KUPATIWA CHANJO YA UGONJWA WA COVID 19 LEO MUHIMBILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top