• HABARI MPYA

  Tuesday, August 10, 2021

  KIKOSI CHA SIMBA SC CHAONDOKA LEO DAR ES SALAAM KWENDA MOROCCO KUWEKA KAMBI YA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA


  MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameondoka mchana wa leo kwenda nchini Morocco kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya.
  Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kurejea nchini baada ya wiki kwa maandalizi ya mwisho na kitafanya tamasha lake maalum la kila mwaka, Simba Day Agosti 28.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA SC CHAONDOKA LEO DAR ES SALAAM KWENDA MOROCCO KUWEKA KAMBI YA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top