• HABARI MPYA

  Saturday, August 07, 2021

  LEICESTER YAICHAPA MAN CITY 1-0 NA KUBEBA NGAO ENGLAND

  TIMU ya Leicester City leo imetwaa Ngao ya Jamii England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester City Uwanja wa Wembley Jijini London.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji Mnigeria, Kelechi Iheanacho dakika ya 89 kwa penalti la baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Nathan Ake kwenye boksi na kuiadhibu timu yake ya zamani.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER YAICHAPA MAN CITY 1-0 NA KUBEBA NGAO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top