• HABARI MPYA

  Monday, August 09, 2021

  YANGA SC KUMUUZA TUISILA KISINDA ‘BEI YA KUTUPA’ RS BERKANE YA MOROCCO BAADA YA MSIMU MMOJA TANGU IMSAJILI KUTOKA AS VITA YA KINSHASA

  WINGA wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Tuisila Kisinda anatarajiwa kujiunga na klabu ya RS Berkane ya Morocco kutoka Yanga SC ya Dar es Salaam.
  Kisinda atasaini mkataba wa miaka mitatu na timu ya Botola Pro  akikamilisha uhamisho hui kutoka timu ya Jangwani aliyojiunga mwaka jana kutoka AS Vita ya kwao, DRC.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 atakwenda kukutana tena na kocha, Florent Ibenge ambaye ni Mkongo pia waliyekuwa naye AS Vita.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC KUMUUZA TUISILA KISINDA ‘BEI YA KUTUPA’ RS BERKANE YA MOROCCO BAADA YA MSIMU MMOJA TANGU IMSAJILI KUTOKA AS VITA YA KINSHASA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top