• HABARI MPYA

  Wednesday, August 25, 2021

  PRINCE DUBE AANZA MAZOEZI MEPESI NDOLA


  MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo aliyekuwa majeruhi tangu Julai leo ameanza mazoezi mepesi katika kambi ya timu hiyo Jijini Ndola, Zambia kujiandaa na msimu mpya
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRINCE DUBE AANZA MAZOEZI MEPESI NDOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top