• HABARI MPYA

  Tuesday, August 17, 2021

  TWIGA STARS KUANZA NA ZIMBABWE SEPTEMBA 16 MICHUANO YA WANAWAKE KOMBE LA COSAFA NCHINI AFRIKA KUSINI


  TANZANIA itaanza na Zimbabwe katika mchezo wa Kundi B michuano ya COSAFA wanawake Septemba 16 Jijini Gqeberha (Mebekha), zamani Port Elizabeth, kabla ya kuivaa Botswana Septemba 19 na kukamilisha mechi za kund9i hilo kwa kumenyana na Sudan Kusini Septtemba 21.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS KUANZA NA ZIMBABWE SEPTEMBA 16 MICHUANO YA WANAWAKE KOMBE LA COSAFA NCHINI AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top