• HABARI MPYA

  Sunday, August 29, 2021

  MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 MOLINEUX

  WENYEJI, Wolverhampton Wanderers wameshindwa kutumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Molineux baada ya kuchapwa 1-0 na Manchester United leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England mjini Wolverhampton.
  Kwa ushindi huo uliotokana na bao pekee la mshambuliaji wa kimataifa wa England, Mason Greenwood dakika ya 80, Man United inafikisha pointi saba baada ya mechi tatu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 MOLINEUX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top