• HABARI MPYA

  Wednesday, August 11, 2021

  SIMBA SC YAWASILI SALAMA CASABLANCA TAYARI KUWEKA KAMBI NCHINI MOROCCO KUJIANDAA NA MSIMU MPYA


  KIKOSI cha Simba SC leo kimewasili salama Jijini Casablanca tayari kuanza mazoezi katika kambi yake ya Morocco kujiandaa na msimu mpya nchini Morocco.


  Kikosi hicho chini ya kocha Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa kitarejea nchini siku chache kabla ya Simba Day, Agosti 28. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAWASILI SALAMA CASABLANCA TAYARI KUWEKA KAMBI NCHINI MOROCCO KUJIANDAA NA MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top