• HABARI MPYA

  Monday, August 23, 2021

  RAIS SAMIAH KUDHAMINI KLABU BINGWA YA WANAWAKE CECAFA

   

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan amekubali kudhamini michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ya wanawake.
  Jana, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) alitoa ombi hilo wakati kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 23 kuzuru Ikulu kwa mwaliko wa Rais Samiah kufuatia kutwaa ubingwa wa CECAFA Challenge U23 hivi karibuni nchini Ethiopia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIAH KUDHAMINI KLABU BINGWA YA WANAWAKE CECAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top