• HABARI MPYA

  Wednesday, August 25, 2021

  TAIFA STARS WAANZA KUJIFUA KWA AJILI YA DRC

  MAKIPA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam baada ya kuingia kambini leo kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Septemba 2 mjini Lubumbashi na Madagascar Septemba 7 nyumbani.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WAANZA KUJIFUA KWA AJILI YA DRC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top