• HABARI MPYA

  Tuesday, August 17, 2021

  MWENYEKITI WA YANGA SC DK MSHINDO ATANGAZA KUVUNJA KAMATI ZOTE NDOGO NDOGO BAADA YA MIAKA MIWILI TANGU ZIUNDWE

  MWENYEKITI wa Yanga SC, Dk Mshindo Mbette Msolla ametangaza kuvunja Kamati zote ndogo ndogo baada ya miaka miwili kwa mujibu wa Katiba – na kwamba atatangaza Kamati mpya baadaye.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWENYEKITI WA YANGA SC DK MSHINDO ATANGAZA KUVUNJA KAMATI ZOTE NDOGO NDOGO BAADA YA MIAKA MIWILI TANGU ZIUNDWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top