• HABARI MPYA

  Saturday, August 14, 2021

  ARSENAL YAANZA VIBAYA ENGLAND, YAPIGWA 2-0 NA BRENTFORD

  ARSENAL imeanza vibaya Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa 2-0 na Brentford FC usiku huu Uwanja wa Brentford Community, Middlesex.
  Mabao yaliyoizamisha Arsenal leo yamefungwa na Mspaniola Sergi Canós dakika ya 22 na kiungo mwenzake, Mdenmark Christian Nørgaard dakika ya 73 wakiipa mwanzo mzuri timu hiyo ya London Magharibi ikicheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu baada ya miaka 74.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAANZA VIBAYA ENGLAND, YAPIGWA 2-0 NA BRENTFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top