// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RAIS SAMIAH AJUMUIKA NA MABINGWA WA CHALLENGE IKULU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RAIS SAMIAH AJUMUIKA NA MABINGWA WA CHALLENGE IKULU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, August 23, 2021

  RAIS SAMIAH AJUMUIKA NA MABINGWA WA CHALLENGE IKULU

   


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na kikosi cha timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 kilichotwaa Kombe la CECAFA Challenge hivi karibuni nchini Ethiopia. 
  Wengine pichani ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Innocent Bashungwa na benchi la Ufundi, Ikulu.  Nahodha wa U23 ya Tanzania Relliant Lusajo akimkabidhi Kombe la CECAFA Challenge mheshimiwa Rais, Samiah Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam jana.

  GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIAH AJUMUIKA NA MABINGWA WA CHALLENGE IKULU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top