• HABARI MPYA

  Tuesday, August 10, 2021

  MSHAMBULIAJI ATUPELE GREEN AREJESHWA BIASHARA UNITED KUZIBA PENGO LA NYOTA ALIYETIMKIA YANGA SC, YUSSUF ATHUMANI


  KATIKA kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao, wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Biashara United ya Mara wamemrejesha mshambuliaji wao, Atuepele Green Jackson kutoka Geita Gold.
  Ikumbukwe Biashara imeacha wachezaji 14, mbali ya wale ambao wanaondoka akiwemo Yussuf Athumani aliyejiunga na Yanga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI ATUPELE GREEN AREJESHWA BIASHARA UNITED KUZIBA PENGO LA NYOTA ALIYETIMKIA YANGA SC, YUSSUF ATHUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top