• HABARI MPYA

  Sunday, August 01, 2021

  FISTON KALALA MAYELE NDIYE MCHEZAJI MPYA WA KWANZA YANGA SC DIRISHA HILI LA USAJILI KUELEKEA MSIMU UJAO, NI MSHAMBULIAJI MKONGO ANATOKA AS VITA YA KINSHASA  KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele kuwa mchezaji wake mpya wa kwanza dirisha hili la usajili kuelekea msimu ujao.
  Mchezaji huyo kutoka AS Vita ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amesaini mkataba wa miaka miwili kuungana na mabingwa hao wa kihistoria Tanzania.
  Mayele anakutana tena na wachezaji wenzake wawili wa zamani wa AS Vita, kiungo Tonombe Mukoko na winga Tuisila Kisinda ambao pia ni Wakongo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FISTON KALALA MAYELE NDIYE MCHEZAJI MPYA WA KWANZA YANGA SC DIRISHA HILI LA USAJILI KUELEKEA MSIMU UJAO, NI MSHAMBULIAJI MKONGO ANATOKA AS VITA YA KINSHASA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top