• HABARI MPYA

  Tuesday, August 17, 2021

  YANGA SC WALIVYOANZA MAZOEZI MARRAKECH


  MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Mkongo Fiston Kalala Mayele akiwa mazoezini na timu yake kwenye kambi ya Marrakech nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya


  Beki mpya wa Yanga SC, Mkongo Djuma Shabani akiwa mazoezini leo Marrakech


  Kiungo Mrundi Said Ntibanzokiza akiwa mazoezini leo Morocco


  Kipa mpya wa Yanga kutoka Mali, Djigui Diarra akiwa mazoezini leo Marrakech


  Wachezaji wa Yanga mazoezini leo Marrakech katika kambi ya kujiandaa na msimu GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOANZA MAZOEZI MARRAKECH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top