• HABARI MPYA

  Saturday, August 21, 2021

  MANE AFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 2-0

  TIMU ya Liverpool imeichapa Burnley FC mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield mabao ya Diogo Jota dakika ya 18 na Sadio Mané dakika ya 69.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE AFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top