YANGA SC YATAJA VIINGILIO VYA MCHEZO WAKE NA TANZANIA PRISONS JUMAPILI BENJAMIN MKAPA
UONGOZI wa klabu ya Yanga umetaja viingilio vya mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam kuanzia saa 1:00 usiku.
0 comments:
Post a Comment