KATIKA Ligi ya mpira wa Kikapu Marekani, Anthony Davis amefunga pointi 31, LeBron James pointi 26 na rebounds 11 kuiwezesha Los Angeles Lakers kushinda 105-103 dhidi ya Denver Nuggets na kuongoza 2-0 katika fainali ya Western Conference.
Upande wa Denver Nuggets Nicola Jokic amefunga pointi 30 na assists tisa na Jamal Murray pointi 25. Game 3 itachezwa keshokutwa Alfajiri.
Canelo Alvarez's huge trilogy fight with Gennady Golovkin is CONFIRMED for September 17
-
The massive trilogy between Canlo Alvarez and Gennady Golovkin will take
place on September 17, it has been confirmed. The Mexican superstar is to
lock ho...
Dakika 15 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni