• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 15, 2020

  CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 3-1 THE AMEX

  Wachezaji wa Chelsea wakipongezana kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Amex. Mabao ya The Blues yalifungwa na Jorginho kwa penalti dakika ya 23, Reece James dakika ya 56 na Kurt Zouma dakika ya 66, wakati la Brighton lilifungwa na Leandro Trossard dakika ya 54 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 3-1 THE AMEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top