• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 11, 2020

  NAMUNGO FC WAKIJIFUA KWA BIDII UWANJA WA MAJALIWA KUJIANDAA NA MCHEZO WAO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU

  Kiungo Iddi Kipagwile akiruka juu kwenye mazoezi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu
  Kiungo Abdulhalim Humud 'Gaucho' akikimbia kwenye mazoezi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa kujiandaa na mchezo ya Polisi Jumatatu 
  Kiungo Abdulhalim Humud 'Gaucho' akikimbia kwenye mazoezi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa kujiandaa na mchezo ya Polisi Jumatatu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC WAKIJIFUA KWA BIDII UWANJA WA MAJALIWA KUJIANDAA NA MCHEZO WAO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top