• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 06, 2020

  MBAPPE AIFUNGIA BAO PEKEE UFARANSA YAICHAPA SWEDEN 1-0

  Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee dakika ya 41 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sweden kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena Jijini Solna 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBAPPE AIFUNGIA BAO PEKEE UFARANSA YAICHAPA SWEDEN 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top