• HABARI MPYA

  Wednesday, September 30, 2020

  YANGA SC IMEIPIGA KMKM 2-0 CHAMAZI LEO MABAO YOTE AMEFUNGA KIUNGO MKONGO TONOMBE MUKOKO


  Wachezaji wa Yanga SC wakimpongeza kiungo Mkongo, Tonombe Mukoko baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 11 na 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kdogo ya Jiji la Dar es Salaam

  Kiungo Muangola, Carlos Carlinhos akiambaa na mpira kwenye mchezo dhidi ya KMKM leo Chamazi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC IMEIPIGA KMKM 2-0 CHAMAZI LEO MABAO YOTE AMEFUNGA KIUNGO MKONGO TONOMBE MUKOKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top