• HABARI MPYA

  Sunday, September 20, 2020

  HAALAND APIGA MBILI BORRUSSIA DORTMUND YAUA 3-0 BUNDESLIGA


  Jadon Sancho (kushoto) akimpongeza Erling Haaland baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao mawili dakika ya 54 kwa penalti na lingine dakika ya 77 akimalizia pasi ya mchezaji mwenzake huyo
   katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Signal-Iduna-Park, Jijini Dortmund. Bao la kwanza la Borussia Dortmund limefungwa na Giovanni Reyna dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAALAND APIGA MBILI BORRUSSIA DORTMUND YAUA 3-0 BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top