• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 17, 2020

  YANGA SC WAWASILI BUKOBA MAPEMA KWA NDEGE KUWAVAA KAGERA SUGAR JUMAMOSI KAITABA


  VIGOGO, Yanga SC tayari wapo Bukoba tangu asubuhi baada ya kuondoka Dar es Salaam kwa ndege kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Jumamosi Uwanja wa Kaitaba.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WAWASILI BUKOBA MAPEMA KWA NDEGE KUWAVAA KAGERA SUGAR JUMAMOSI KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top