• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 05, 2020

  MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA MCHEZO WA KWANZA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA KESHO MKAPA

  Nyota mpya wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam  
  Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 
  Kiungo mpya wa Yanga SC, Mkongo Tonombe Mukoko akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 
  Beki mpya wa Yanga SC, Yassin Mustapha akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 
  Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia mazoezini kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA MCHEZO WA KWANZA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA KESHO MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top