• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 19, 2020

  MAN UNITED YAANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND, YAPIGWA 3-1  TIMU ya Manchester United imeanza vibaya Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Crystal Palace leo Uwanja wa Old Trafford.
  Mabao ya Crystal Palace yamefungwa na Andros Townsend dakika ya saba na Wilfried Zaha mawili, moja kwa penalti dakika ya 74 na lingine dakika ya 85, wakati bao pekee la Man Unted limefungwa na kiungo mpya, Donny van de Beek dakika ya 80 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND, YAPIGWA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top