• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 07, 2020

  KMC YAANZA LIGI KUU TANZANIA BARA KWA KISHINDO, YAWATANDKA MBEYA CTY 4-0 UWANJA WA UHURU

  Timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) imeuanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Mbeya City mchana wa leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, mabao ya Israel Mwenda, Hassan Kabunda, Abdul Hillary na Paul Peter 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KMC YAANZA LIGI KUU TANZANIA BARA KWA KISHINDO, YAWATANDKA MBEYA CTY 4-0 UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top