• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 27, 2020

  RAMOS APIGA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA REAL BETIS 3-2


  Nahodha Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 82 kwa penalti ikitoka nyuma na kuwalaza Real Betis 3-2 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarín, Sevilla. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Federico Valverde dakika ya 14 na Emerson aliyejifunga dakika ya 48, wakati ya Real Betis yalifungwa na Aissa Mandi dakika ya 35 na William Carvalho dakika ya 37
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAMOS APIGA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA REAL BETIS 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top