• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 30, 2020

  BEKI MKALI WA MABAO, LAMINE MORO AONGEZA MKATABA WA KUITUMIKIA YANGA SC HADI MWAKA 2023


  Beki wa Yanga SC, Mghana Lamine Moro akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo, Hersi Said baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuchezea Yanga SC hadi mwaka 2023 kufuatia mwanzo mzuri katika msimu huu akifunga mabao mawili katika mechi tano

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI MKALI WA MABAO, LAMINE MORO AONGEZA MKATABA WA KUITUMIKIA YANGA SC HADI MWAKA 2023 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top