Raheem Sterling akiifungia England bao pekee kwa penalti dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, Iceland 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi la pili Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Laugardalsvollur Jijini Reykjavik. Mechi nyingine ya kwanza ya kundi hilo, Ubelgiji iliwachapa wenyeji pia, Denmark 2-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment