• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 04, 2020

  HAMISI KISIWA ATEULIWA KUWA KAIMU MKURUGENZI WA WANACHAMA NA MASHABIKI SIMBA SC

  UONGOZI wa Simba SC umemteua Hamisi Kisiwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, baada ya Hashimu Mbaga kuondolewa. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAMISI KISIWA ATEULIWA KUWA KAIMU MKURUGENZI WA WANACHAMA NA MASHABIKI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top