• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 28, 2020

  BAYERN MUNCH YAFUMULIWA 4-1 NA HOFFENHEIM BUNDESLIGA


  Wachezaji wa Hoffenheim wakipongezana kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya mabingwa watetezi, Bayern Munich kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa Jumapili Uwanja wa Rhein-Neckar-Arena. Mabao ya Hoffenheim yamefungwa na Ermin Bicakcic dakika ya 16, Mu'nas Dabbur dakika ya 16 Andrej Kramaric dakika ya 16 77 na 90,wakati la Bayern Munich limefungwa na Joshua Kimmich 
  dakika ya 36 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAYERN MUNCH YAFUMULIWA 4-1 NA HOFFENHEIM BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top