• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 09, 2020

  YACOUBA SOGNE NA NYOTA WENGNE YANGA SC WAKIIWINDA MBEYA CITY KWA HASIRA ZOTE WAISHIKISHE ADABU JUMAPILI

  Mshambuliaji Mburkinabe wa Yanga SC, Yacouba Sogne akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijino Dar es Salaam
  Beki wa Bakari Nondo Mwamnyeto (kulia) na kiungo Zawadi Mauya (kushoto) wakiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City Jumapili 
  Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima akiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City  
  Kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' akiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa kuivaa Mbeya City Jumapili 
  Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia mazoezini kuelekea mchezo na Mbeya City Jumapili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YACOUBA SOGNE NA NYOTA WENGNE YANGA SC WAKIIWINDA MBEYA CITY KWA HASIRA ZOTE WAISHIKISHE ADABU JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top