• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 22, 2020

  MAN CITY YAANZA NA MOTO ENGLAND, YAICHAPA WOLVES 3-1


  Kevin De Bruyne (katikati) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza kwa penalti dakika ya 20 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Romain Saiss katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux. Mabao mengine ya Manchester City yalifungwa na Phil Foden dakika ya 32 na Gabriel Jesus dakika ya 90 na ushei, wakati la Wolves lilifungwa na Raul Jimenez dakika ya 78
   PICHA ZIAID GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAANZA NA MOTO ENGLAND, YAICHAPA WOLVES 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top