• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 09, 2020

  GIROUD AFIKISHA MABAO 40 UFARANSA IKIIADHIBU CROATIA 4-2

  Mshambuliaji Olivier Giroud akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Ufaransa bao la nne dakika ya 77 kwa penalti hilo likiwa bao lake la 40 timu yake ya taifa katika ushindi wa Ufaransa wa 4-2 dhidi ya Croatia usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa Ulaya Uwanja wa Stade de France Jijini Paris. Mabao mengne ya Ufaransa yamefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 43, Dominik Livakovic dakika ya 45, Dayot Upamecano dakika ya 65, wakati ya Croatia yamefungwa na Dejan Lovren dakika ya 16 na Josip Brekalo dakika ya 55 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GIROUD AFIKISHA MABAO 40 UFARANSA IKIIADHIBU CROATIA 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top