• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 05, 2020

  KAI HAVERTZ ALIVYOANZA KAZI CHELSEA BAADA YA USAJILI WA REKODI

  Kiungo mpya mshambuliaji wa Chelsea, Kai Havertz akiwa mazoezini na timu yake hiyo mpya uwanja wa Cobham leo kufuatia jana kukamilisha uhamisho wa rekodi, Pauni Milioni 89 kutoka Bayer Leverkusen ya kwao, Ujerumani 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAI HAVERTZ ALIVYOANZA KAZI CHELSEA BAADA YA USAJILI WA REKODI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top