• HABARI MPYA

  Friday, September 25, 2020

  KINDA WA MIAKA 17 AIFUNGIA MAN CTY YAICHAPA BOURNEMOUTH


  KINDA wa miaka 17, Liam Delap, mtoto wa kiungo wa zamani wa Stoke City, Rory akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa jana Uwanja wa Etihad.  Mshambuliaji Sam Surridge aliisawazishia Bournemouth dakika ya 22, kabla ya Phil Foden kuwafungia la ushindi mabingwa hao watetezi dakika ya 75
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KINDA WA MIAKA 17 AIFUNGIA MAN CTY YAICHAPA BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top