• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 11, 2020

  PSG WAANZA VIBAYA LIGUE 1 BAADA YA KUPIGWA 1-0 NA LENS

  Wachezaji wa Racing Club de Lens wakipongezana baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Paris Saint-Germain kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa bao pekee la mshambuliaji Mcameroon, Ignatius Kpene Ganago dakika ya 57 Uwanja wa Bollaert-Delelis Jijini Lens. PSG iliyokuwa inacheza mechi yake ya kwanza ya msimu mpya, iliwakosa nyota wake wote, Neymar, Kylian Mbappe na Angel Di Maria 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PSG WAANZA VIBAYA LIGUE 1 BAADA YA KUPIGWA 1-0 NA LENS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top