• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 14, 2020

  POLISI TANZANIA YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU, YAICHBAPA NAMUNGO FC 1-0 PALE PALE MAJALWA

  TIMU ya Polisi Tanzania imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Namungo FC 1-0, bao pekee la winga Rashid Juma dakika ya 76 Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Ikumbukwe mechi ya kwanza Polisi Tanzania ilifungwa 1-0 na Azam FC Jijini Dar es Salaam, wakati Namungo FC iliichapa Coastal Union 1-0 pia   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POLISI TANZANIA YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU, YAICHBAPA NAMUNGO FC 1-0 PALE PALE MAJALWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top